HABARI KAMILI: Marioo Amjibu Shabiki Aliyemkazia YouTube – “Huna Ubavu Huo!” πŸ”₯πŸ˜‚

ROBY MEDIA
0

 

πŸ”΅ HABARI KAMILI: Marioo Amjibu Shabiki Aliyemkazia YouTube – “Huna Ubavu Huo!” πŸ”₯πŸ˜‚



Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Marioo, ameibua gumzo mtandaoni baada ya kumjibu shabiki mmoja aliyekuwa akimpa changamoto kwenye sehemu ya maoni.

Shabiki huyo alicomment kwa utani akisema:

“Tutaziangalia hapa hapa Instagram, YouTube uende kuangalia wewe mwenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚.”

Lakini Marioo hakukaa kimya – akamjibu kwa pozi la kujiamini:

“Huna ubavu huo!”

Kauli hiyo imeweka moto kwenye mitandao, mashabiki wengine wakiteka mjadala na kusema kuwa Marioo ameonyesha kujiamini kwa kiwango cha juu kuhusu ubora wa kazi zake na mvuto wa muziki wake.

Wengine waliongeza utani zaidi wakimaanisha kwamba:

“Kama yeye hataki kwenda YouTube basi mwambie mkeo aende akaangalie, muziki lazima upate views tu, maisha yanaendelea!” πŸ˜‚πŸ”₯

Baadhi ya mashabiki wamechukulia tukio hilo kama utani wa kawaida kati ya msanii na mashabiki wake, huku wengine wakisema Marioo ana kila sababu ya kujiamini kwani kila wimbo anaotoa hupata mapokezi makubwa na kufungua trend mpya kwenye mitandao.

Ni wazi kwamba Marioo bado anabaki kuwa miongoni mwa wasanii wanaoweza kugeuza comment moja tu kuwa headline ya siku!

Endelea kutembelea blog yetu kwa updates zote za burudani na mitandaoni! πŸ”₯

Post a Comment

0 Comments

Post a Comment (0)
3/related/default