Kwa umoja wetu tungetafuta namna ya kuwasaidia hawa wahanga wote waliobambikiwa kesi na wako mahabusu!
Kwa umoja wetu tungetafuta namna ya kuwasaidia hawa wahanga wote waliobambikiwa kesi na wako mahabusu!
Either tupate mawakili wa kujitolea kuwasaidia (Kila mkoa) Au kama kutahitajika gharama tupitishe bakuli!!
Lakini ni muhimu mno mno mno kuwasaidia, tusiwaache pekeyao!!
Wapo baadhi wenye uwezo,influence wanaweza kupata mawakili kirahisi!!
Lakini wengi wao tusipoangalia watasahaulika mule ndani, na haitakuwa fair!!
Tukiwaacha hivihivi, ndio baadae wanakuja kuambiwa…….. Si unaona ukipata tatizo hakuna anayekusaidia!!
Hii itawavunja sana moyo next time hawataweza kuunga mkono move yoyote, na wengine walioko uraiani pia wanaweza vunjika moyo!!
Na hii ingewezekana tukaifanya hadi kwa majeruhi wote!!
Tusimame pamoja, tushikane pamoja, tusaidiane pamoja.
Tunafanya kazi ya Mungu,Hivyo tuna baraka zote toka kwake!!
Naamini Allah hawezi kutuacha katika hili!!
Ushindi uko njiani!!

