"Kitendo kilichofanywa na CNN kimefanywa na vyombo vya habari vingine vya kimataifa BBC, Al-Jazeera, Dutche Welle sio sawa na sio haki katika misingi na maadili ya uandishi wa habari huu ni ukiukwaji mkubwa na wa makusudi",
Hi Hayo ameyasema Gerson Msigwa, Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Michezo Sanaa na Utamaduni Gerson Msigwa leo Novemba 23, 2025 akizungumza na waandishi wa Habari katika Ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam.

