Aziz ki. Dada yenu anajiposi kwenye account zangu nakuandika kiswahili
personROBY MEDIA
November 14, 2025
0
share
Aziz ki. Dada yenu anajiposi kwenye account zangu nakuandika kiswahili
Aziz Ki Amefunguka kuhusu maneno ya kiswahili Ambayo huwa anayaandika kwenye ukurasa wake wa Instagram ni Mke Wake Humuandikia na sababu ya kujifunza kiswahili.