🌟 Safari Inaendelea – Shukrani Kwa Waliosimama Na Mimi 🌟
🌟 Safari Inaendelea – Shukrani Kwa Waliosimama Na Mimi 🌟
Katika safari yangu ya kazi za media, nimejifunza kitu kimoja muhimu— kuthamini wale wanaosimama na wewe hata wakati wengine wanakuacha nyuma.
Leo nimeamua kuweka wazi shukrani zangu kwa mtu aliyenisaidia, kunisapoti na kunipa nguvu wakati mwingine walinipuuza. Kwa heshima hiyo, nimeweka picha yake kwenye profile yangu kwa muda wa miezi miwili kuanzia sasa hadi mwaka 2025/2026 kama ishara ya kutambua mchango wake.
Naenda mbali zaidi—
📌 Natoa ahadi mbele ya umma kuwa nafasi yake kwenye studio zangu za ROBYMEDIA 2026–2027 ipo wazi.
Mungu aendelee kutupa uzima na kutuongoza kwenye malengo yetu. 🙏
#Robymedia #KaziInaendelea #SupportSystem #BlessingsOnTheWay #MediaLife #Makambako
#TeamWork

