Msanii wa muziki kutoka Tanzania, Mbosso, ametangaza kuachia remix tatu za wimbo wake maarufu “Pawa”. Kila remix inamshirikisha wasanii kutoka nchi tofauti:
🇰🇪 Kenya
Bien
Khaligraph Jones
🇹🇿 Tanzania
Gnako
Billnass
Darassa
🇷🇼 Rwanda
The Ben
Ngoma zote zitachia leo usiku saa 6:00 (00:00)
Via Banza Media

