Ahmed Ally acheza kigoma live Buguruni
Meneja wa habari na mawasiliano wa klabu ya Simba leo kwenye uzinduzi wa kispika (hamasa za Simba) kuelekea mchezo wao wa klabu Bingwa Afrika dhidi ya Petro Atletico Ahmed Ally amejumuika na mashabiki wa Simba katika hamasa hizo maeneo ya Buruguni.
Ikumbukwe mchezo huo utachezwa siku ya Jumapili saa 10:00 jioni katika dimba la benjamini Mkapa.



