Rayvanny kupitia Ukurasa wake wa instagram aliandika Hivi👇
: Staa wa muziki nchini Rayvanny ameshare video ikionyesha moja ya sehemu ya Perfomance yake katika Show iliyofanyika Dubai na kuweza kusindikiza ujumbe ambao unamsemo wa Msanii diamondplatnumz "kenge" ambao aliweza kuutumia Mkoani Kigoma.
Rayvanny kupitia Ukurasa wake wa instagram aliandika Hivi👇
"MPAKA SASA HAKUNA KENGE MWENYE GOMA KAMA HILI NCHI HII , HAKUNA KENGE MWENYE SHOW KAAAALI KAMA HILI HAPA 2025 😂😂😂😂😂 IN SIMBA’S VOICE"
Kisha Msanii Diamond alikwenda kushusha Ujumbe katika chapisho hilo la Rayvanny "😅😅 ni Mwendo wa Kenge tu""

