Mbosso khan baada ya kununua gari lake jipya aliwachukua watoto wake na kuingia nao kwenye gari
Mbosso khan baada ya kununua gari lake jipya aliwachukua watoto wake na kuingia nao kwenye gari kisha akawaomba watoto wake waliombee au walifanyie dua gari hilo kabla hajaanza kulitumia
Mtoto mmoja alisikika akisema Mungu lilinde gari hili lisipate ajari yoyote ile mana ndio gari analolitumia baba kuendea kazini kwake
Watoto wote walilifanyia dua gari hilo pia mbosso amekuwa na utaratibu wa kuwashilikisha watoto wake kwenye kazi zake mfano aliwashilikisha kwenye kuaanda ile album yake ya RoomNuber3 iliyo fanya vizuri na nyimbo kama pawa, Aviola na zingine nyingi
Mbosso khan he is the clever one, the king of the north 🫡

