Simba tunaitaka fainali ya klabu bingwa Afrika
Shabiki wa Simba maarufu kwa jina la Mchungaji wa Simba leo katika hamasa za klabu ya Simba amezungumza juu ya nafasi ya Simba katika ligi ya klabu bingwa Afrika na kudai kuwa Simba ya sasa inataka kucheza fainali ya CAF.


