E-NEWS MAMA WA HAMISA MOBETTO AFURAHIA SIKU YAKE YA KUZALIWA – UMRI WAZUA MASWALI, ASHUKIWA KUVUKA MIAKA 40
News Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo akizungumza na Wazee wa Dar es salaam, amesema kilichotokea October 29 2025 hakikuwa maandamano bali ni vurugu zilizoandaliwa kwa madhumuni maalum hivyo nguvu iliyotumika kuyadhibiti inaendana na tukio husika.