News Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo akizungumza na Wazee wa Dar es salaam, amesema kilichotokea October 29 2025 hakikuwa maandamano bali ni vurugu zilizoandaliwa kwa madhumuni maalum hivyo nguvu iliyotumika kuyadhibiti inaendana na tukio husika.
News Polisi Dodoma "Mtumba police station" inasemeka ndipo alipo Mch. Martini james. John Heche Akiwasiliana na Mch. Mbarikiwa mwakipesile kuhusu taarifa za Mch. Martin James aliyepotea tokea tar 21 Oct 2025 alisema