News Hizi ndio Takwimu za uharibifu wa mali na miundombinu ulifanyika 29 Oktoba katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania.
E-NEWS Jux amnunulia mtoto wake gari aina ya Cybertruck gari hiyo jux amenunua kama zawadi ya kumpatia mtoto wake mala baada ya mtoto huyo kutimiza miezi 3️⃣ tangu kuzaliwa kwake
News Kitendo kilichofanywa na CNN kimefanywa na vyombo vya habari vingine vya kimataifa BBC, Al-Jazeera, Dutche Welle sio sawa na sio haki katika misingi na maadili ya uandishi wa habari huu ni ukiukwaji mkubwa na wa makusudi",
BURIDANI Msanii wa muziki kutoka Tanzania, Mbosso, ametangaza kuachia remix tatu za wimbo wake maarufu “Pawa”
News Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo na Hamis Mwinjuma (FA) kuwa Naibu Waziri na Naibu wa pili wa Wizara hiyo ni Paul Makonda. #MillardAyoUPDATES
E-NEWS Mbosso khan baada ya kununua gari lake jipya aliwachukua watoto wake na kuingia nao kwenye gari
News Kwa umoja wetu tungetafuta namna ya kuwasaidia hawa wahanga wote waliobambikiwa kesi na wako mahabusu!